![]()
Tumeona na kusikia mara nyingi kwa watu tunaowaamini au vyombo tunavyo amini kuwa tiba ya kisukari amna na hakiponi, na kitu pekee unachoweza kufanya ni kuimaintain tu kwa kutumia dawa kwa kipindi cha maisha yako yote.
Kiuhalisia kisukari kinapona changamoto ni kuwa hatufundishwi njia sahihi za kukitibia, hivi sasa watu wengi wameanza kugundua hilo na wameanza kuishi uponyaji badala ya kuishi maisha ya hofu na kukubali kuwa kisukari ni ugonjwa wa kudumu.
Kutokana na watu zaidi ya 500+ nilioweza kuwasaidia mpaka sasa kuondokana na kisukari na wote waliopona ukifuatilia walikuwa na pattern moja ambayo nimewaelekeza. Na wale waliofuata pattern hii wameweza kupona na kupata matokeo ndani ya muda mfupi sana. Kwa kuona hili nimeandaa chapisho hili ili na wewe uwe miongoni mwa wale wachache walioweza kutambua ukweli na kupona kisukari.
Nitazungumzia mambo makuu 4 kwenye uponyaji
-
- Tambua Kisukari ni nini na kimesababishwa na nini
-
- Kusafisha mwili
-
- Tibia tatizo
-
- Badirisha lifestyle
KISUKARI NI NINI NA KIMESABABISHWA NA NINI
Kwa ufupi, kisukari ni hali ambayo mwili unakuwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko kawaida. Hii hutokea pale ambapo homoni inayoitwa insulin, inayozalishwa na kiungo kinachoitwa kongosho, haifanyi kazi vizuri.
Insulin husaidia sukari kuingia kwenye seli za mwili ili itumike kama nishati. Lakini kwa mtu mwenye kisukari, mambo mawili yanaweza kutokea:
-
- Kongosho linaweza kushindwa kuzalisha insulin ya kutosha, au
-
- Mwili unaweza kushindwa kuitumia insulin ipasavyo (hali hii huitwa “insulin resistance”).
Matokeo yake ni kwamba sukari inabaki nyingi kwenye damu badala ya kuingia kwenye seli.
Kwa kiasi kikubwa, hali hii inachangiwa na mtindo wa maisha, hasa ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi(wanga wa kisasa) na mafuta yakisasa, pamoja na kutofanya mazoezi ya mwili. Vyakula kama soda, vyakula vya kusindika (processed foods), na kula kupita kiasi kuongeza hatari ya kupata kisukari.
KUSAFISHA MWILI
Ukishajua wapi pana shida, hatua inayofuata ni kusafisha mwili wako ili kuondoa uchafu uliokusanyika. Hii inahusisha kupunguza sukari zisizofaa kwenye mfumo wa mwili wako na kusaidia viungo kufanya kazi vizuri.
Mchakato huu huanza kwa kusafisha tumbo ili upate choo vizuri, pamoja na kusaidia kusafisha viungo muhimu kama kongosho, ini, na mishipa ya damu.
Njia rahisi na nyepesi ya kufanya hivyo ni kwa kutumia Aloe Mix, ambayo husaidia kusafisha mwili na kuujenga upya. Ni muhimu kufanya usafishaji huu kwa angalau siku 7 mfululizo. Tiba ya Kisukari inaanzia kwenye kusafisha mwili kisha, kutibu kongosho.
TIBu kONGOSHO
ni pale kwa kurudishia kongosho uwezo wake wa asili wa kuzalisha insulin, pamoja na kusaidia mwili uweze kuipokea na kuitumia insulin hiyo ili kudhibiti kiwango cha sukari kwa usahihi.
Pia, kisukari unatibu kwa kuchochea mwili kuanza kutumia akiba yake iliyohifadhiwa kwenye ini na misuli kwa urahisi, bila kusababisha uchovu, yaani kwa namna rahisi na endelevu.
Hivyo, dawa yoyote inayotumika kutibu kisukari inapaswa kuwa na uwezo wa kufanya mambo haya makuu mawili.
LIFESTYLE (Mtindo wa Maisha)
Hapa ndipo watu wengi wanapokosea, wanataka kupona lakini hawapo tiyari kubadilika.
Ukweli ni huu: lifestyle yako ndiyo ilikusababisha kupata kisukari, na lifestyle mpya ndiyo itakayokuponya.
Kama hutobadilisha maisha yako ya kila siku, hata dawa nzuri kiasi gani hutopata tiba ya kisukari ya kudumu.
Kitu cha kwanza ni chakula.
Unahitaji kurudi kwenye vyakula hai vya asili (natural foods) — matunda, nafaka za asili, mboga za majani na vyakula ambavyo havijapitia usindikaji mkubwa. Vyakula hivi vina antioxidants nyingi ambazo husaidia mwili kujijenga upya, kusafisha seli, na kurejesha uwiano sahihi wa sukari mwilini.
Kumbuka:
Unachokula kila siku ama kinakuponya au kuniondoa afya yako. Hakuna Kuwa kati.
Jambo la pili ni mazoezi.
Afya bora haiwezi kupatikana bila mwili kuwa na mazoezi. Mazoezi husaidia mwili kutumia sukari iliyohifadhiwa kwenye misuli na ini kwa urahisi zaidi.
Huhitaji kuanza kwa nguvu sana — anza taratibu:
-
- Kutembea kwa kasi
-
- Kukimbia kidogo kidogo
-
- Aerobics
-
- Au gym kwa wale tunaoishi mjini
Lakini kumbuka: 80% ni chakula, 20% ni mazoezi na vyote vinategemeana.
Jambo la tatu muhimu sana ni ratiba ya kula (meal timing).
Moja ya mbinu itakayo kupa matokeo ya haraka ni One Meal A Day (OMAD), kula mlo mmoja kwa siku. Hii inaupa mwili muda wa kutumia akiba yote ya sukari kabla ya kuongeza nyingine kuepusha kuwa na kiwango kikubwa cha sukari mwilini.
Jambo la nne ambalo watu hulipuuzia ni usingizi na kupumzika. Mwili wako unajisafisha na kujirekebisha ukifuata kanuni za asili za kupumzika. Hakikisha, Saa 4 usiku inakukuta kitandani hadi saa 8, kwa kuwa ndio muda mwili hujisafisha. Na pata masaa 6-8 kwa siku, usipitilize.
Bila usingizi wa kutosha:
-
- Homoni zinavurugika na utashindwa kudhibiti Sukari yako.
Kwa kifupi: Lifestyle yako ni dawa yako ya kila siku.
HITIMISHO
Kama umesoma mpaka hapa, tayari una ufahamu ambao watu wengi hawana.
Njia hizi nne:
-
- Kutambua tatizo na chanzo
-
- Kusafisha mwili
-
- Kutibu kisukari
-
- Kubadilisha lifestyle
Sio nadharia tu ni mfumo ambao tayari umewasaidia zaidi ya watu 500+ kurejesha afya zao na kuishi maisha huru bila hofu ya kisukari.
Na sio kisukari tu, watu waliotumia mfumo huu wameona mabadiliko makubwa kwenye:
-
- Nguvu za kiume
-
- Mzunguko wa damu (presha kuwa sawa)
-
- Mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
-
- Uwezo wa kufikiri na utulivu wa akili kuongeza
Hii ni kwa sababu unakuwa haujatibu dalili bali umetatua chanzo cha tatizo.
Swali la kujiuliza ni moja tu:
Uko tayari kubadilisha maisha yako ili uone matokeo halisi?
Kwa sababu ukweli ni huu: Afya yako ipo mikononi mwako na uamuzi unaoufanya leo utaamua maisha yako ya kesho.
Kama uko tayari kuchukua hatua sasa:
Tembelea website yetu liferevival ili ujifunze zaidi kuhusu mfumo huu na uanze safari yako ya uponyaji leo.
Pia unaweza kujiunga na WhatsApp Community yetu, ambapo utapata:
-
- Elimu ya kila siku kuhusu afya sahihi ya asil
-
- Mwongozo wa kutibia magonjwa mbali mbali
-
- Ushuhuda wa watu waliopona
-
- Msaada wa karibu kwenye safari yako
Jifunze zaidi kwa kutizama video hii kwenye Instagram https://www.instagram.com/reel/DV6v3gQjM09/?utm_source=ig_web_button_share_sheet&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Usikae na taarifa bila kuchukua hatua.
Chukua hatua sasa kwa kuwa KUISHI BILA MAGONJWA INAWEZEKANA.
