Katika safari ya kufikia afya bora, watu wengi hujiuliza: “Tule vyakula gani ili tuwe na afya njema?” au “Ni vyakula sahihi vipi kwa wagonjwa wa presha, kisukari au vidonda vya tumbo?” Maswali haya yote yana jibu moja muhimu, kuchagua vyakula sahihi.
Vyakula sahihi, hasa vile vya asili (alkaline foods), vina mchango mkubwa katika kurejesha na kudumisha afya ya mwili. Hivi ni vyakula vinavyotokana na asili, vina virutubisho hai, na vina uwezo wa kusaidia mwili kufanya kazi zake kwa usahihi.
Mwili wako umeumbwa kujiponya, lakini unahitaji lishe sahihi ili kufanya kazi hiyo kikamilifu. Katika makala hii, utajifunza mwongozo kamili wa vyakula sahihi vinavyosaidia mwili kuwa na usawa, nguvu, na afya ya kudumu.
WHOLE FOODS (Milo mikuu)
Tunapenda main dishes, List hii ni baadhi ya vyakula ambavyo havijachakatwa, vina fiber nyingi na vina virutubisho kamili:
- Mtama mweupe
- Ndizi bokoboko
- Magimbi (aina zote)
- Viazi vikuu (aina zote)
- Mchele mweusi
- Quinoa, Amaranth, Buckwheat
- Ming’oko
- Maboga, Amasoma, Kitarasa
Pia unaweza kutumia:
- Unga wa ugali (mtama mweupe + ndizi bokoboko/uwele/fiwi)
- Makande ya mtama mweupe na choroko au dengu.

MBOGA ZA ASILI
Mboga ni msingi wa afya ya utumbo na damu:
- Njegere, Choroko, Dengu, Kunde, Maharage meupe
- Nyanya chungu, Bamia, Bilinganya
- Uyoga wa msimu
- Mchicha pori, Matembele, Figiri, Mnavu
- Purple cabbage, White carrots
- Minti, Majani ya maboga
📌 Kumbuka: Wengi wetu tunakula mboga za majani kwa uchache na main dishes kwa wingi, ila tunatakiwa kufanya vice versa!

CHUMVI NA MAFUTA BORA
Badili chumvi na mafuta unayotumia kila siku:
Chumvi:
- Chumvi ya mawe
- Chumvi ya magadi
- Himalayan Pink Salt
- Chumvi za miamba
Mafuta:
- Mafuta ya nazi
- Mafuta ya ufuta
- Mafuta ya parachichi
- Olive oil (itumike bila kupika)
- Macadamia oil
📌 Faida: Husaidia moyo, mzunguko wa damu, na afya ya seli za mwili.
KARANGA NA MBEGU
- Macadamia nuts
- Pistachio
- Walnuts
- Brazilian nuts
- Hazelnuts
- Hemp seeds
- Pumpkin seeds
- Tiger nuts
📌 Faida: Chanzo kizuri cha mafuta mazuri, protini, na nguvu ya mwili.
MATUNDA YA ASILI
Chagua matunda ya msimu na yenye asili:
- Parachichi, Papai, Zabibu, Zaituni
- Mapera, Maembe, Matango ya asili, machenza, mapeasi, Matopetope
- Green Apple, Strawberries, Apricots, Fig, Bael Fruit, Raisins
- Fenesi, Ndizi sukari, Stafeli,
- Madafu, Ubuyu, tende kavu
📌 Kumbuka: Kula matunda kwa kiasi kulingana na hali ya afya yako (hasa kwa wenye kisukari).
MAJI SAFI
Maji ni msingi wa afya:
- Spring water
- Maji yaliyotibiwa kwa kutumia Shungite stones
📌 Faida: Husaidia detox ya mwili, mmeng’enyo, na usawa wa mwili.
JUICE ZA MAJANI NA SMOOTHIES
Hizi ni njia rahisi ya kupata virutubisho kwa wingi:
GREEN JUICES
- Majani + tangawizi + limao
- Majani + tende + limao
- Majani + parachichi + ndizi
- Majani + papai + tangawizi
- Majani + apple/peasi + tende
- Majani + tui la nazi + parachichi
📌 Faida: Husaidia kuongeza damu, kusafisha mwili, na kuongeza nguvu.
SMOOTHIE JUICES
- Majani + parachichi + ndizi
- Majani + papai + tangawizi
- Majani + apple/peasi + tende
- Majani + tui la nazi + parachichi
VIUNGO MUHIMU VYA KUPIKIA
- Cayenne Pepper
- Tangawizi
- Manjano
- Vitunguu maji
- Karafuu, Mdalasini mtamu
- Pilipili mtama
HERBS MUHIMU NYUMBANI
Kwa afya bora, ni muhimu kuwa na hizi:
- Activated Charcoal – kusaidia kusafisha sumu mwilini
- Ngukiza – kusaidia mfumo wa mkojo na kujikinga na UTI/PID
- Sea Moss Gel yenye Bladderwrack – madini muhimu kwa mwili
- Shungite stones – kusafisha maji na kupunguza mionzi
- Dandelion – kusaidia kusafisha ini
👉 Kwa maelezo zaidi ya bidhaa na matumizi yake, tembelea tovuti yetu.
HITIMISHO
List hii ni kwa uchache na itakuwa inaongezwa vyakula sahihi walau kila baada ya miezi 3, kama kwenye mazingira yako kuna vyakula vya asili na vina nyuzi nyuzi hivyo vinafaa kwa matumizi, au unaweza kutuma kwenye email yetu kuuliza. Kumbuka, Afya njema haianzi hospitalini, bali inaanzia kwenye kile unachokula kila siku.
Kwa kufuata mwongozo huu wa vyakula vya asili, unaweza:
✔ Kuboresha afya ya utumbo
✔ Kusawazisha sukari ya damu
✔ Kuongeza kinga ya mwili
✔ Kupunguza hatari ya magonjwa sugu
Unaweza kujifunza zaidi kuhusu elimu hii ya vyakula sahihi vya asili kwa kumfuatilia Dr Sebi, aliyetupa mwanga wa namna tunaweza kuondokana na magonjwa yote kupitia vyakula na mimea. Dr Sebi Guide
📞 UNAHITAJI MSAADA ZAIDI?
Ikiwa unahitaji mwongozo binafsi wa lishe, tiba asilia, au mpango wa afya kulingana na hali yako:
👉 Wasiliana nasi kupitia Life Revival Home Therapy
👉 Tembelea tovuti yetu kupata bidhaa na ushauri zaidi
🌿 KUISHI BILA MAGONJWA INAWEZEKANA
